Rihanna alivyoibuka kwenye mechi ya Juventus dhidi ya Atletico Madrid
Ni Headlines za mwimbaji wa kike kutokea nchini Marekani aitwae Rihanna ambae jana alifika uwanjani kushuhudia mchezo wa Juventus dhidi ya Atletico Madrid
Ambapo mpira ulimalizika ndani ya dakika 90 ulikwisha Juventus 1-0 Atletico, Rihanna alionekana uwanjani akiwa na pochi ya Louis Vuitton yenye thamani ya paundi Elfu 2000 ambazo ni sawa na milioni 5 za kitanzania.


Comments
Post a Comment