UTACHEKA: John Cena kaambiwa aimbie ‘John Cena’ ya Sho Madjozi

Ni Headlines za mcheza mieleka ambae kwasasa vichwa vya habari vimerudi huko Marekani baada ya msanii wa Afrika Kusini aitwae Sho Madjozi kutumia jina lake katika wimbo wake uitwao John Cena.
Sasa utacheka pale ambapo John Cena alipofika katika kipindi cha Strahan Sara and Keke huko Marekani na kuambiwa aimbie wimbo huo wa msanii wa Afrika Kusini.

Comments

Popular posts from this blog

Heshima aliyopewa Nipsey Hussle na waandaji tuzo za Grammy’s 2019

Pamoja na kupoteza Samatta ana wastani mzuri wa magoli Champions League